YANGA leo ilikula kiporo cha mechi za Kombe la Shirikisho kiulaini baada ya kuifumua Copco ya Mwanza kwa mabao 5-0, huku ...
NGUVU, utulivu na kuweka dharau pembeni ndio kipaumbele cha mabingwa watetezi, Yanga kuelekea mechi ya raundi ya tatu ya ...
Mabosi wa Simba wameonyesha hawatanii. Baada ya kumvutia waya kiungo kutoka Guinea anayeichezea CS Sfaxien ya Tunisia, safari hii imeigeukia Yanga, ikipiga hesabu ya kuibomoa.
KIKOSI cha Yanga leo Jumamosi kinaanza rasmi harakati za kutetea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la TFF wakati ...
BAADA ya kuondolewa katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kikosi cha Yanga kimeingia kambini kwa ajili ...
Yanga imeangalia mwenendo wa kikosi chao na kugundua kwamba kuna mambo madogo ambayo yakifanyiwa kazi basi watatisha zaidi ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wameanza kutamba bwana! Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia ...