Ushindi ulioupata wa magoli 4-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ndio ulihitimisha safari ya Yanga na kukata tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la klabu bingwa barani Afrika.
Muda mfupi baada ya kocha Sead Ramovic kubwaga manyanga, Yanga leo, Februari 4, 2025 imetangaza kumchukua kocha wa Singida ...
Ilikuwa miaka yenye mafanikio na sifa kubwa kwa Klabu ya Yanga ya Tanzania. Pamoja na ubingwa wa Afrika Mashariki na kati, kufika hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Afrika mwaka 1998 ...