LEO Yanga wana karata moja muhimu katika harakati zao za kutaka kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakapokuwa wageni wa TP Mazembe katika mchezo wa kundi A wa michuano hiyo. Ni karata ...
KLABU ya Yanga imelalamika kufanyiwa vurugu kubwa baada ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe, uliochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Mazembe, Lubumbashi, ...