NGUVU, utulivu na kuweka dharau pembeni ndio kipaumbele cha mabingwa watetezi, Yanga kuelekea mechi ya raundi ya tatu ya ...
SIKU chache baada ya ratiba ya ligi kufanyiwa marekebisho, kocha wa Mashujaa, Abdallah Mohamed 'Bares' amesema tayari ameanza kukiweka sawa kikosi chake huku akizitaja timu tatu za Azam FC, ...