Simba inaianza safari ya michuano ya Kombe la Shirikisho ikiwa nyumbani kuikaribisha Kilimanjaro Wonders, huku kocha msaidizi ...
KLABU ya Yanga imesema imepata somo na imejifunza kitu kutokana na kutolewa kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo viongozi watakaa na kusuka mipango mipya, ili msimu ujao irejee kwa ...
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, jana walishindwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu na wageni MC Alger ya Algeria katika mchezo wa raundi ya sita, ...