KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic, amesema mchezo wao wa jumamosi ijayo dhidi ya TP mazembe utaamua hatma yao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika huku akiwaomba mashabiki kuujaza uwanja. Jumamosi, ...