MASHAMBULIZI mwanzo mwisho, hayo ni maneno ya wawakilishi wa Tanzania, Yanga kuelekea mechi ya Kundi A ya mashindano ya ...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu, Yanga leo watashuka kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kucheza mechi ya mwisho ya ...
DAR ES SALAAM; YANGA leo watakuwa wanaikaribisha Fountain Gate FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa KMC, Mwenge Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wanakuwa na ari ya kuendeleza ...
Yanga imemaliza mwaka kibabe kwa ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate kwenye Uwanja wa KMC Complex leo, matokeo ...
YANGA ikiwa inapambana uwanjani leo jioni ikiizamisha TP Mazembe kwea mabao 3-1, jukwaani akaonekana mshambuliaji mpya, ...
Dar es Salaam. Yanga imeendeleza historia yake tamu dhidi ya Dodoma Jiji kwenye Ligi Kuu baada ya leo kuibuka na ushindi ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Mechi ya raundi ya kwanza Simba na Yanga zilitoka sare ya goli 1-1. Katika mchezo wa leo Yanga ilitawala kipindi cha kwanza na Simba kutawala kipindi cha pili. Simba watajilaumu wenye kwa kupoteza ...